KILA DAKIKA, GARI MOJA LA TAKA ZA PLASTIKI LINAMWAGWA KATIKA BAHARI ZETU.

Fanya mabadiliko muhimu kutoka kwenye matumizi ya mirija ya plastiki kwenda mirija ya karatasi.

 

Kila dakika, Gari moja la taka za plastiki linamwagwa katika bahari zetu hili linatakiwa kuachwa.

 

 

Kwa kubadili kwenda kwenye mirija yenye uwezo wa kutumika tena na kuoza kwa haraka, saidia kuokoa maisha ya viumbe vya baharini kwa kupunguza kiwango cha carbon wakati tukilinda mfumo wa ikolojia wa dunia. 

Ungana na maelfu ya watumiaji wanaopendelea bidhaa za karatasi kama mirija ya karatasi.
 

Mirija yetu ya karatasi ni uwekezaji wa thamani kwa dunia mama, RAPOS ni mirija ya karatasi iliyotengenezwa kwa nyenzo za kiikolojia na kunywa kwa usalama.


Hii ndio njia sahihi ya kuchangia usemi wa kwenda kijani🌚

 


Mirija yetu ni salama na mizuri kulinganisha na mirija ya plastiki.

Miriji ya karatasi ya RAPOS inaweza kutumika majumbani, katika hafla, migahawa, bar na maduka ya kahawa.


 
Kuokoa sayari ni mwenendo ulioshika kasi unaoonya kila mtu jinsi bidhaa za plastiki zilivyo hatarishi kwa asili ya mwitu.Tumeshuhudia kobe waliokabwa na mirija ya plastiki katika pua zao na shakwe wakipoteza maisha kwasababu ya kushindikana kwa mfumo wa umeng'enywaji kwaajili ya plastiki. 

No comments:

Post a Comment

IRENE SPORAH WAS RECOGNIZED AS THE INVENTOR OF ECO-FRIENDLY MANUFACTURING COMPANY IN TANZANIA.

Irene Sporah was recognized as the inventor of eco-friendly manufacturing company in Tanzania offering biodegradable products  at the 7th Pa...